Posts

Turn Safe Mode Back Off

Image
When you’re done fixing whatever required working in Safe Mode, you just need to turn off the “Safe Boot” option you turned on earlier. Hit Win+R, type “msconfig” into the Run box, and then hit Enter to open the System Configuration tool again. Switch to the “Boot” tab, and disable the “Safe Boot” checkbox. Click “OK” and then restart your PC when you’re done. It’s not often you’ll need to return to Safe Mode several times in a row, but when you do, this method will save you a lot of hassle.

Force Windows to Boot into Safe Mode

Image
The easiest way to open the System Configuration utility is to hit Windows+R to bring up the Run box. Type “msconfig” into the box, and then hit Enter. This method should work in pretty much any version of Windows. In the “System Configuration” window, switch to the “Boot” tab. Enable the “Safe Boot” check box, and then make sure the “Minimal” option below that is selected. Click the “OK” button when you’re done. Windows asks if want to restart your PC now or wait until later. Whatever you choose, the next time you restart your PC, it will enter Safe Mode. After restarting, you’ll know that you are in Safe Mode because Windows places “Safe Mode” text in the four corners of the screen. And now, every time you restart your PC, Windows will start in Safe Mode until you’re ready to turn it back off again.

How to Boot Into Safe Mode on Windows 10 or 8 (The Easy Way)

Image
One of the most common steps when troubleshooting a PC is to boot into Safe Mode. For a long time this has been achieved by pressing the F8 key, this all changes with Windows 10 and its Automatic Repair mode. But what if we want Safe Mode? If you mash the F8 key at just the right time (or get lucky spamming the key during boot up), Windows  might  still take you to a screen that lets you get into the recovery environment. From there, you can boot into Safe Mode (and we’ll talk about that environment a bit later. The trouble is that some computer manufacturers disable this option. And even on PCs that still support it, Windows startup (and particularly the handoff between the regular boot process and Windows startup) happens so much faster now, you barely have time to press the key. The good news is that getting into Safe Mode is doable. The process is just more hidden now. Note : This article is written using screenshots from Windows 10, but the techniques work pretty much th

Jinsi ya ku 'install' driver online kwenye computer yoyote ile.

Unasumbuliwa na tatizo la driver? Usijali hauitaji kupeleka kwa fundi ili akuingizie driver kwenye computer yako wewe chukua hatua zifuatazo na utaweza kulitatua tatizo lako:- Hakikisha unaunganisha computer yako mtandao ili iwe online. Fungua browser yako au kivinjari chako mfano mozila firefox, google chrome, safari, torch n.k. Type hili neno 'driverpack online solution' Chagua website ya kwanza ikishafunguka download icon ya driverpack. Baada ya kudownload ki ' run' kwa kuki 'click' mara mbili. Kitascan driver zoote zilizopo na zisizokuwepo kwenye computer. Kiruhusu kiweze kuinstall driver zoote zilizomiss. Malizia kwa kurestart computer yako ili kuruhusu driver zilizoingia Njia hii ya kuinstall driver ni rahisi na haiitaji upeleke kwa fundi maana inaitaji uwe na data tu kama 500MB na zinatosha kuinstall driver zoote.

JINSI YA KUUNLOCK SIMU ZINAZOSOMA MTANDAO MMOJA TU MINGINE INAKATAA

Vodafone  Halotel Tigo phones Ttcl phones Pia haishiki lain za tanzania inashika za njee Ntaanza na MTK phones Vifaa .A.V Unlocking software .USB cable .phone drivers .computer yyt *A.V NETWORK UNLOCKING SOFTWARE* Hii ni software ambayo unairun direct sio ya Ku install kama miracle  Steps ~weka software ya av katka PC yako  ~install driver za simu  ~ andaa USB ~ Simu iwe imechajiwa Then run hyo software  Itafunguka  ~kwa upande Wa Juu kuna maneno service,unlocking imei utilities Bonyeza pale kwenye unlocking  Then Chagua model ya vodafone yako   Ibonyeze Then Bonyeza  Direct network unlock Then Chukua Simu yako to a betri afu lirudishe chomeka USB  Itadetect pia itasoma Itakwambia network unlock done  Hapo inakua tayari Jumla sekunde 15 (15s) kawaida Hyo software Ka unaihitaji kwa wale wanaopendezwa tuma massage hapo chini. Pia kwa maswali toa comment yako hapo chini nitaiona na kukujibu vizuri.Usiwe muoga hata kama nd

Namna ya kufungua akaunti ya Play Store kwa kutumia anuani ya barua pepe ya Gmail iliyokwisha kutengenezwa zamani

Washa simu yako Hakikisha una kifurushi cha intaneti Hakikisha simu yako umeifanyia Internet Configuration na signals za data zinasoma Washa Mobile Data Fungua Programu ya Play Store Kwenye Sehemu ya  Add a Play Store Account chagua  Existing . Ingiza anuani ya barua pepe pamoja na neno lako la siri kisha bofya kitufe cha kuendelea (Next/Continue) Kwenye Sehemu ya “Set up payment info” bofya ‘SKIP’ Kwenye  Backup and restore  bofya kwenye kisanduku cha  Keep this phone backed up with my Google Account  Kisha bofya kitufe cha kuendelea (Next/Continue) Ukikutana na ujumbe unakuomba ukubaliane na masharti ya kutumia huduma za Play Store utabofya kwenye  Accept , na hapo akaunti yako itakuwa tayari. Zifuatazo ni hatua za kutengeneza akaunti mpya ya Google na Play Store kwa wakati mmoja: Washa simu yako Hakikisha una kifurushi cha intaneti Hakikisha simu yako umeifanyia Internet Configuration na signals za data zinasoma Washa Mobile Data Fungua Pogramu ya Play Store Kwen