Jinsi ya ku 'install' driver online kwenye computer yoyote ile.

Unasumbuliwa na tatizo la driver? Usijali hauitaji kupeleka kwa fundi ili akuingizie driver kwenye computer yako wewe chukua hatua zifuatazo na utaweza kulitatua tatizo lako:-

  1. Hakikisha unaunganisha computer yako mtandao ili iwe online.
  2. Fungua browser yako au kivinjari chako mfano mozila firefox, google chrome, safari, torch n.k.
  3. Type hili neno 'driverpack online solution'
  4. Chagua website ya kwanza ikishafunguka download icon ya driverpack.
  5. Baada ya kudownload ki ' run' kwa kuki 'click' mara mbili.
  6. Kitascan driver zoote zilizopo na zisizokuwepo kwenye computer.
  7. Kiruhusu kiweze kuinstall driver zoote zilizomiss.
  8. Malizia kwa kurestart computer yako ili kuruhusu driver zilizoingia
Njia hii ya kuinstall driver ni rahisi na haiitaji upeleke kwa fundi maana inaitaji uwe na data tu kama 500MB na zinatosha kuinstall driver zoote.

Comments

Popular posts from this blog

How to Boot Up Your Computer

JINSI YA KUUNLOCK SIMU ZINAZOSOMA MTANDAO MMOJA TU MINGINE INAKATAA

Njia 3 Za Ku ‘Reset’ Simu Ya Android!